Nyumba ya walinzi wa shamba la Efatha Ministry lililoteketezwa kwa moto na wanakijiji wenye hasira katika kijiji cha Sikaungu wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa. |
Masalia ya moja ya nyumba iliyoteketezwa kabisa kwa moto kufuatia vurugu zilizotokana na mgogoro wa ardhi |
Masalia ya matrekta
yaliyoteketezwa na wanakijiji kwa moto mali ya Efatha Ministry
|
Katibu mkuu wa
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Jobu Masami akizungumza na makamanda
mjini Mpanda. PICHA NA MALASO EARNEST
|