JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA
YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI
LA POLISI TANZANIA.
PRESS RELEASE.
05.07.2013
TAARIFA YA MAKOSA MAKUBWA
YALIYOLIPOTIWA MKOANI KATAVI KUANZIA TAREHE 04.07.2013HADI TAREHE 05.07.2013.
01: BASI LAACHA
NJIA NA KUTUMBUKIA MTONI NA KUSABABISHA VIFO NA MAJERUHI:
Mnamo
tarehe 05/07/2013 majira ya saa 00:05hrs huko sitalike wilaya ya mlele mkoa wa
katavi gari no:t.909 azt nissan diesel mali ya kampuni ya sumry likiendeshwa na dereva Stephano s/o Chimane @ Ntungu liliacha njia
na kutumbukia katika mto stalike @ mto iku na kusababisha vifo kwa watu 9 akiwemo 1.Isabela d/o Mwasunga ,18yrs, Mnyakyusa,
mwanafunzi wa Kenswa sekondari, 2.Boniface
s/o mwasunga,14yrs,mwanafunzi wa Ikondamoyo,3.frida d/o nikutusya, 44yrs,mkazi
wa mpanda hoteli, 4. Selevesta s/o Sinkala,62yrs,Mpimbwe,mkulima wa Sibwesa,
5.Dominika d/o Evarist, 19yrs, mkonongo,mwanafunzi wa Inyonga ,6.Pendo d/o
?,Mfanyakazi wa Maridadi bar 7.Sifoliona d/o Martine,miezi 4, mtoto,mkazi wa Majengo
na wengine wawili bado hawajafahamika kwa majina na majeruhi kwa watu 50 1. Zephania
s/o Ernest, 26yrs, mzinza, mwalimu wa Geita,
2.Stanslaus s/o Malimba, 53yrs, Mkonongo, mkulima wa,inyonga, 3.Helieth d/o Malekela,
18yrs, mbena, mwanafunzi wa makanyagio,4.Mwita s/o Bita,43yrs Mjita,mwalimu wa
Nsimbo,5.Lidia d/o Atenye,39yrs,mfipa ,mkulima wa Ikola,6.Amina d/o Juma,33yrs,mbende,mkulima
wa makanyagio,7G.5296 pc Abel wa polisi wilaya Mpanda,8.Abeli s/o Chakupewa,47yrs,mfipa
mhasibu wa sumatra,9.mwalusi s/o Sanga,27yrs,mkinga biashara Kotazi, 10.Shabani
s/o Omary, 43yrs, mkulima wa Zanzibar, 11.Ferick s/o Mwalema, 30yrs , Mnyiha, mwalimu
wa Kasulu, 12 .Ahamedi s/o Ramadhani, 44yrs,
Mjenzi,wa zanzibar, 13. Hamis s/o time, 44yrs, fundi, Zanzibar, 14. Yusuph s/o Masu,
29yrs,Mshilazi, Zanzibar, 15. Nemlodi s/o Kanu, 22yrs,mfipa,mwanafunzi wa
Sumbawanga, 16. Wilachinza s/o Jolamu, 23yrs, muha, mwalimu,wa Mchakamchaka, 17John
s/o Melisho, 49yrs, mchaga, mfanyabiashara wa Makanyagio, 18.Robert s/o Sikala,
29yrs, mnyiha, mwalimu wa kabungu,19.omary s/o Abedy, 41yrs, mshilazi, 20. Jeska s/o Kanzeni, 24yrs, mfipa, mwalimu
wa Kigoma, 21.Recho d/o Jackison, 20yrs, mwanafunzi wa mbeya, 22. Zufa d/o Jafari,
28yrs, mkulima wa Chunya, 23.Reya d/o Alfosi,22yrs, Mnyika ,mkulima wa
sitalike, 24.Idaya d/o mkumbi,14yrs, mnyamwezi, mwanafunzi wa Bagamoyo, 25.gift
s/o Maltini, miezi4, mchaga wa Sumbawanga, 26.Maria d/o Minisi,25yrs,mchaga,mkulimawa
Sumbawanga,27.Hilida d/o titho, 44yrs, muha wa Sumbawanga, 28. Patric s/o Alfred,
22yrs ,mfipa wa Sumbawanga, 29. Gelard s/o Kanzai, 42yrs, mfipa wa Ikola, 30. Gwamaka
s/o Mwaipisi, 27yrs, mnyakyusa, mkazi wa Kukuyu, 31.Yusuph s/o Musa,16yrs, muha
wa kichangani, 32.Emmakulata d/o Boniphace, mchaga, Nsemlwa, 33.Sara w/o majura,
41yrs, Mpare, kawajense, 34.John s/o Ndumbalo,30yrs,Mngoni,mwalimu wa
Makanyagio, 35.Frank s/o Elius,20yrs,mfipa,mkulima wa Tambukareli, 36.Suzan s/o
Samson, 29yrs, Mnyiha, mwalimu, mkazi wa Uruira, 37.Hamisa d/o Athman 36yrs
muha,mfanyabiashara, mkazi wa Sumbawanga, 38.luice s/o Morice, 23yrs, mbende,
mkulima, mkazi wa Kasekese, 39.Ibrahim s/o Amiry, 17yrs, muha, mwanafunzi,
mkazi wa Makanyagio – Mpanda, 40.Neema d/o Robert, 28yrs, mnyakyusa, mkulima,
mkazi wa Kabungu, 41.Magdalena d/o Thomas, 26yrs, Mkisi, mwalimu, mkazi wa Mapili,
42.joyce d/o sylivestr, 32yrs, mkimbu, mamalishe, mkazi wa Chunya – mbeya,
43.Adelina d/o Oneli, 2yrs, mtoto mdogo, mkazi wa Mpanda, 44.Anastazia d/o Gervas,
32yrs, muha, mkulima, mkazi wa Majengo – Mpanda, 45.Stanslaus s/o Malumba,
53yrs, Mkonongo, mkulima wa Mapili, 46.Bahati s/o Ndondole,25yrs,mbena,mwalimu
wa kawajense na wengine wanne wametibiwa na kuruhusiwa.
Chanzo cha ajali ni ubovu wa gari kufeli breki, dereva wa Gari
hilo alikimbia mara baada ya kutokea ajali hiyo juhudi za kumtafuta
zinaendelea.
RAI;
Jeshi la
Polisi Mkoa wa Katavi linatoa rai kwa wamiliki wa vyombo vya moto kufanya ukaguzi na matengenezo ya mara kwa mara kwa
vyombo vyao na linawaasa madereva kuwa
makini wanapoendesha vyombo hivyo kwani watambue kuwa wanabeba maisha na uhai
wa wanadamu.
Naomba kuwasilisha tafadhari.
……………………………….
(EMMANUEL J. NLEY-ACP)
KNY: KAMANDA WA POLISI
MKOA WA KATAVI.